Friday, May 14, 2021

thumbnail

UKWELI KUHUSU UGOMVI BAINA YA MAYAHUDI NA WAPALESTINA KTK MJI WA JERUSALEM- Kindamba multipurpose

 Msikiti wa sasahivi wa masjid aqsa huko PALESTINA umejengwa mwaka 1948 lakini historia yake inabeba matukio mengi zaidi ya miaka 100 iliyopita.


Muslims in protest of actions done to them. photo https://wordfromjerusalem.com/wp-content/uploads/2017/08/UK-Muslim-Protest.jpg


Hapa tutaongelea mambo ambayo muhimu kwa kila muislam kuyajua ili tutambue ni nini hasa kinaendelea.

Allah ameitukuza ardhi ile miaka na miaka na hata maeneo yanayozunguka msikiti ule Allah ameyatukuza. kwa kutaja kabisa kwa jina, tukio tukufu la Mtume israa na miiraji ambapo israa alitoka makka mpaka katika msikiti huu, na miiraji ni alivyotoka aqsa kwenda  mbinguni. 

 Pia tukio maarufu la kiongozi wa dola kubwa kipindi cha Mtume URUMI alipopokea barua ya Mtume akasema kama ni kweli huyu Mtu ni Mtume basi ardhi hii niliyosimama itakuja kuwa chini yake, na kweli baaada ya miaka kumi tu ardhi ile ilikuwa chini waislam.

kwa kweli kila mtu anayetaka kuujua ukweli iko haja apitie darasa hili kwenye youtube ambaye sheikh YASIR QADHI amedadavua kwa mapana kuhusu kadhia hii na kipi tunatakiwa tufanye.

(DR yasir qadhi kuhusu yanayoendelea jerusalem na nini cha kufanya)

Related Posts :

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

Copyright © 2021, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by hafidh kindamba. Powered by Blogger.