![]() |
RAFAEL NADAL |
LETS enjoy tennis best rallies of all times, here we can see nadal, thiem , zverev and other big players.
Tennis ni miongoni mwa michezo ambayo katika uanda wetu wa africa mashariki na kati wengi hawautambui zaidi ya wachezaji wao wenyewe. unadhani lini itafika wapenzi wa michezo africa mashariki wataanza kupenda michezo na kufatilia kujifunza sheria zake.
ukitembelea https://swahilitennis.blogspot.com/2021/05/fahamu-kuhusu-mchezo-wa-tennis-lawn.html
hapo utajifunza sheria mbalimbali zinazohusiana na mchezo pendwa wa tennis.
Kama unahitaji mwanao au kijana wako aanze kuandaa ndoto zake za kuja kuwa mwanamichezo wa tennis wasiliana na mtaalamu wetu ataweza kukuunganisha sehemu nzuri kwa ajili ya programu nzuri za mwanao, na hata wewe mwenyewe kwa ajili ya mazoezi ya mwili. https://wa.me/+255685303727
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments