Monday, January 30, 2017

thumbnail

SERENA ARUDI NAMBA MOJA DUNIANI

Baada ya kuwa chini kwa miezi kadhaa (namba mbili) mwanadada huyu wa marekani amerudi katika nafasi ya kwanza duniani katika mchezo wa tennis baada ya kushinda mashindano ya Australian open kwa kumfunga dada yake venus willliams kwa seti tatu. Serena amekuwa ni mwanadada mwenye kuweka historia kubwa ambayo itakuwa vigumu sana kuvunjwa kwa miaka ya baadaye kama bado ataendelea kuwafunga.

Related Posts :

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

Copyright © 2021, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by hafidh kindamba. Powered by Blogger.