Saturday, April 1, 2023
Monday, March 6, 2023
JUA KUSOMA QURAN KWA SIKU 30, Day 01 part 01: KUSOMA HERUFI ZA KIARABU
Wednesday, September 22, 2021
Saturday, July 3, 2021
Monday, June 28, 2021
Friday, June 25, 2021
Tuesday, June 22, 2021
Tuesday, May 18, 2021
Sunday, May 16, 2021
The solution to the problems of Depression vs Contentment- Sheikh Sulaiman Moola SouthAfrica
A career dream life to all three aspects of life every youth needs (RELIGION, SPORTS,ACADEMICS)-kindamba multipurpose
Now we need to change the next generation to have posibility in achieving their goals, by only helping them in this we will save them from wasting their time in peer pressure bad groups and wasting their age without doing anything important, especially in developing countries of Africa.
Saturday, May 15, 2021
USAHIHI WA KAZI YA DAAWA NA TABLIGH -Sheikh Rajab Mtipa
![]() | |
| Mazungumzo ya bayana yakifanyika katika mkusanyiko wa ijtemaa |
Kwa muda mrefu kumekuwa na wasemaji wengi hasa katika upande wa kuikosoa kazi tukufu ya daawa katika usahihi wake na misingi yake. hapa sheikh Rajab Mtipa ameelezea kwa kina kabisa sintofahamu zote ambazo baadhi ya watu aidha kwa kutofahamu au kutaka kupotosha umma huwa wanazungumza hoja ambazo kiuhakika kabisa hazina ukweli ndani yake. sikiliza audio hizi mbili vizuri mpaka mwisho.
PART ONE: BONYEZA HAPA
PART TWO: BONYEZA HAPA
Friday, May 14, 2021
UKWELI KUHUSU UGOMVI BAINA YA MAYAHUDI NA WAPALESTINA KTK MJI WA JERUSALEM- Kindamba multipurpose
Msikiti wa sasahivi wa masjid aqsa huko PALESTINA umejengwa mwaka 1948 lakini historia yake inabeba matukio mengi zaidi ya miaka 100 iliyopita.
![]() |
| Muslims in protest of actions done to them. photo https://wordfromjerusalem.com/wp-content/uploads/2017/08/UK-Muslim-Protest.jpg |
Hapa tutaongelea mambo ambayo muhimu kwa kila muislam kuyajua ili tutambue ni nini hasa kinaendelea.
Allah ameitukuza ardhi ile miaka na miaka na hata maeneo yanayozunguka msikiti ule Allah ameyatukuza. kwa kutaja kabisa kwa jina, tukio tukufu la Mtume israa na miiraji ambapo israa alitoka makka mpaka katika msikiti huu, na miiraji ni alivyotoka aqsa kwenda mbinguni.
Pia tukio maarufu la kiongozi wa dola kubwa kipindi cha Mtume URUMI alipopokea barua ya Mtume akasema kama ni kweli huyu Mtu ni Mtume basi ardhi hii niliyosimama itakuja kuwa chini yake, na kweli baaada ya miaka kumi tu ardhi ile ilikuwa chini waislam.
kwa kweli kila mtu anayetaka kuujua ukweli iko haja apitie darasa hili kwenye youtube ambaye sheikh YASIR QADHI amedadavua kwa mapana kuhusu kadhia hii na kipi tunatakiwa tufanye.
(DR yasir qadhi kuhusu yanayoendelea jerusalem na nini cha kufanya)

