![]() | |
Mazungumzo ya bayana yakifanyika katika mkusanyiko wa ijtemaa |
Kwa muda mrefu kumekuwa na wasemaji wengi hasa katika upande wa kuikosoa kazi tukufu ya daawa katika usahihi wake na misingi yake. hapa sheikh Rajab Mtipa ameelezea kwa kina kabisa sintofahamu zote ambazo baadhi ya watu aidha kwa kutofahamu au kutaka kupotosha umma huwa wanazungumza hoja ambazo kiuhakika kabisa hazina ukweli ndani yake. sikiliza audio hizi mbili vizuri mpaka mwisho.
PART ONE: BONYEZA HAPA
PART TWO: BONYEZA HAPA
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments