Vyuo mbali mbali nchini kama UDOM, UDSM, SAUTI, TUMAINI, NELSON MANDELA, AIAA, RUAHA, SOKOINE, MKWAWA, MIPANGO, CBE, DUCE, ST JOHN, MUM n.k vimeanza ratiba za mwaka wake wa masomo 2016/2017, kwa wanafunzi wa wanaondelea na wa mwaka wa kwanza. Nimezungumza na baaadhi ya wanafunzi wa UDOM na wakasema waliosaini bachi ya kwanza kwa chuo hicho wamekwisha ingiziwa ada, ila hali inaonyesha vjana wengi wa mwaka wa kwanza wamerejea majumbani baada ya kunyimwa mikopo hali wengine wamewakopa bumu wenzao ili waweze kulipa ada.Hata hivyo kuna habari za kusikitisha ni kwamba wanafunzi wanaoendelea wameonekana ni kidogo madarasani na baada ya kuhoji inasemekana mwaka wa masomo uliopita vijana wengi wamedisco.
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments