Thursday, December 8, 2016

thumbnail

TOTTENHAM WATOLEWA UEFA

 
Ingawa walishinda mechi ya jana , hata hivyo wapinzani wao pia walishinda mechi na kuwafanya wao wayaage mashindano na kwenda katika Europa , kwa hivyo uingereza ina timu mbili tu ambazo zinasongeza katika hatua ya kumi na sita bora. 
 
 

Related Posts :

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

Copyright © 2021, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by hafidh kindamba. Powered by Blogger.