Friday, November 11, 2016

thumbnail

THE AGE TO MAKE YOUR DREAMS HAPPEN

KWA TATHMINI YANGU INAONYESHA BAINA YA MIAKA 20-30 NDIO VIJANA HUFANYA JUHUDI KUBWA KUFIKIA MALENGO MAKUBWA DUNIANI KIMICHEZO, KIDINI, KIMAENDELEO, KUISAIDIA JAMII, KISIASA, KIBIASHARA, KIFALSAFA, KITAALUMA NA KINIDHAMU. USHAURI WA BURE KWA VIJANA WENZAKE TUJIULIZA TUMEZITENDEA HAKI KIASI GANI SEKTA HIZI? nimekuwekea mfano wa wachezaji bora duniani katika mchezo wa tennis na mwaka waliongia kuwa namba moja duniani na idadi ya wiki (not consecutive) walizokaa namba duniani (in rankings) aliiyeweka historia kubwa Zaidi ni ROGER FEDEDER, na sasa ANDY MURRAY ndio wiki yake ya kwanza ontop.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

Copyright © 2021, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by hafidh kindamba. Powered by Blogger.