Hafidh Ali Tahir Mbunge wa jimbo la Dimani (CCM) Zanzibar amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitalini Dodoma na kisha mwili wake kuswaliwa msikiti wa nunge DODOMA na kisha kuagwa kwa kupewa heshima ya bunge asubuhi ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na bunge walishiriki kabla ya kuusafirisha kwenda Zanzibar. Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiun, Mwenyezi Mungu ajaalie kaburi lake liwe ni miongoni mwa bustani za peponi, amin.
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments