Zamani nilikuwa nadhani kazi za kutumia nguvu sana ndio hizo tu zinazomfanya mtu achoke, na kukaa tu ktk kiti nyumbani ama ofisini kufanya kazi mtandaoni ni kazi rahisi. Kumbe ni vitu viwili tofauti, mambo haya mawili yanatatanisha, ushawahi kufanya kazi ktk kompyuta yako na baadae kwenda kulala unajikuta kila ukitaka kuamka unajilaza tena, hivi ndivyo ilivyo, ingawa kazi za kutumia nguvu za mwili pia zina design ya kipekee pia. UNAMTAZAMO GANI KUHUSIANA NA HILI WEWE KAMA KIJANA AU MZEE WA KARNE HII?
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments